Entries by

Girls Challenges

My dear Girls, There are a number of challenges you are facing during adolescent period as oppose to boys. 1. Menstrual Period After puberty as a girl child you will start to experience monthly menstruation periods; a state of reproductive process in your body which takes place in a number of days every month whereby […]

Kwanini Huishi kwenye Kusudi la Maisha Yako?

Jaribu kufikiria jambo ambalo umekuwa ukitamani kulitimiza katika maisha yako lakini hujaweza kufanya hivyo. Jambo ambalo lipo ndani kabisa ya moyo wako. Haijalishi ni kwa sababu gani hujaweza kulitimiza wewe litafakari tu. Sio jambo la kushangaza, sisi wote nyakati flani katika maisha huwa tunateleza. Iko wazi tu hiyo. Wapo ambao wanaonekana kuwa bora kuliko sisi, […]

Kuwa wa Tofauti

“Ili uwe tofauti na ulivyokuwa March 2017 ni lazima ufanye vitu vya tofauti au ufanye vitu vilevile lakini katika hali ya utofauti au ufanisi zaidi. Nazungumzia utofauti wenye mwelekeo chanya. Hili jambo tunaambiana kila siku ila wengi wetu wanashindwa kuchukua hatua sahihi. Wakati Mungu anataka kukupeleka kwenye hatua nyingine mbele ili uweze kutimiza kusudi la […]

HEDHI – Kikwazo cha Elimu kwa Baadhi ya Mabinti

Kuna sababu nyingi zinazopelekea mabinti katika nchi zinazoendelea kutokuendelea na elimu ya sekondari au kutokumaliza elimu ya sekondari.   Kitu kikubwa kinachowafananisha wanawake wote duniani ni suala la hedhi anayopata mwanamke kila mwezi. Mwanamke hupata hedhi kwa wastani wa miaka arobaini. Katika kipindi chote cha miaka arobaini mwanamke anaweza kutumia Vihifadhi Hedhi (pads) Zaidi ya […]