Entries by

Mafanikio Yenye Ushawishi

Ukifanikiwa katika kusudi la maisha yako unakuwa maarufu pia kwenye maisha ya watu mbalimbali.  Unapodhamiria kutimiza kusudi la maisha yako ni vyema utambue kwanza umuhimu wa kufanikiwa kwenye maeneo mengine yanayogusa maisha ya watu wengine.  Hakuna kusudi la maisha la kutimiza pasipo kuona tatizo mahali fulani katika jamii inayokuzunguka. Hivyo ni wajibu wako kuangalia jamii […]

NISITIRI: Nina Vipande vya Maisha Vilivyopotea

Wanayopitia Mabinti katika Ubinti wao! “Maisha yangu yamejaa uchungu na aibu” ….. Batuli Mwinyiheri “Ninatamani kuendelea na masomo lakini nashindwa kutokana na hali halisi ya maisha yangu na wazazi wangu. Nina umri wa miaka 14, baba yangu mzazi alishafariki na mama yangu aliolewa na mwanaume mwingine. Mume wa mama yangu, yaani baba yangu anayenilea sasa […]

Nisitiri – DhaminiHedhi Kampeni

Nisitiri – Dhamini Hedhi ni kampeni yenye lengo la kuwafikia mabinti elfu moja kutoka kwenye familia zenye changamoto ya kiuchmi kiasi cha kushindwa kutimiza hitaji la kununuliwa taulo za kike. Lengo la kampeni hii ni kuwasitiri mabinti hawa wanapokuwa katika hedhi ya mwezi kwa kuwasaidia kupata taulo za kike.  Kama tunavyojua, mwanamke anapokuwa katika hedhi […]