NISITIRI Dhamini Hedhi Campaign

Lorna Dadi Foundation kupitia NISITIRI Dhamini Hedhi Campaign tunaungana pamoja na serikali, mashirika mbalimbali na jamii kwa ujumla kuhakikisha mtoto wa kike anapata vihifadhi hedhi au kwa lugha nyingine taulo za kike kwa ajili ya kujisitiri katika mzunguko wake wa mwezi (hedhi) lakini pia anapata elimu na uelewa zaidi kuhusu Hedhi salama.