Entries by

MAFANIKIO YENYE USHAWISHI – II

ASILI YA MAFANIKIO Katika mafanikio kuna vitu viwili ambavyo usipovielewa vinafanyaje kazi katika kuchangia wewe kupata mafanikio yako, utachanganyikiwa.  Vitu hivyo ni Sheria na Kanuni. Fahamu:  Kuna sehemu ya Kanuni katika mafanikio au kutokufaniniwa kwa mtu binafsi na kuna sehemu ya sheria katika mafanikio au kutokufaniniwa kwa mtu binafsi. Tofauti ya Sheria na Kanuni Sheria […]

BINTI: UKUAJI – UKOMAVU KATIKA SEHEMU YA UTAMBUZI

Upokeaji na chakataji wa Taarifa Namna tunavyochakata taarifa tunazozipokea siku hadi siku katika maisha yetu inaathiri aina ya maarifa tunayopkea ndani yetu.  Pia huathiri namna tunavyoweza kuyatumia maarifa hayo yanatokana na taarifa hizo. Kama ilivyo kwa watu wengine, kwenye hatua ya kuingia katika ubinti na katika hatua za mwanzo za ubinti, binti anaanza kuzichakata taarifa […]

BINTI: UKUAJI

Ukuaji wa mwanadamu ni mchakato endelevu wa maumbile, tabia, ufahamu na hisia.  Kuanzia mwanadamu anapozaliwa kuna hatua mbalimbali anazopitia; uchanga hadi utoto, utoto hadi ujana, ujana hadi utu-uzima na utu-uzima hadi uzee.  Katika hatua zote hizi kuna mabadiliko ya aina tofauti tofauti yanayotokea kulingana na hatua anayokuwepo ama anayoelekea. Katika kila hatua kila mtu anajijengea […]

Mafanikio Yenye Ushawishi

Ukifanikiwa katika kusudi la maisha yako unakuwa maarufu pia kwenye maisha ya watu mbalimbali.  Unapodhamiria kutimiza kusudi la maisha yako ni vyema utambue kwanza umuhimu wa kufanikiwa kwenye maeneo mengine yanayogusa maisha ya watu wengine.  Hakuna kusudi la maisha la kutimiza pasipo kuona tatizo mahali fulani katika jamii inayokuzunguka. Hivyo ni wajibu wako kuangalia jamii […]

NISITIRI: Nina Vipande vya Maisha Vilivyopotea

Wanayopitia Mabinti katika Ubinti wao! “Maisha yangu yamejaa uchungu na aibu” ….. Batuli Mwinyiheri “Ninatamani kuendelea na masomo lakini nashindwa kutokana na hali halisi ya maisha yangu na wazazi wangu. Nina umri wa miaka 14, baba yangu mzazi alishafariki na mama yangu aliolewa na mwanaume mwingine. Mume wa mama yangu, yaani baba yangu anayenilea sasa […]