Nisitiri – DhaminiHedhi Kampeni
Nisitiri – Dhamini Hedhi ni kampeni yenye lengo la kuwafikia mabinti elfu moja kutoka kwenye familia zenye changamoto ya kiuchmi kiasi cha kushindwa kutimiza hitaji la kununuliwa taulo za kike. Lengo la kampeni hii ni kuwasitiri mabinti hawa wanapokuwa katika hedhi ya mwezi kwa kuwasaidia kupata taulo za kike. Kama tunavyojua, mwanamke anapokuwa katika hedhi […]