Entries by

KUWA MWENYE FURAHA

Ni vizuri kuwa mwenye furaha! Je, unajua kuwa kuna njia nyingi unazoweza kujisaidia wewe mwenyewe kuwa mwenye furaha? Hizi ni baadhi ya zile ambazo mimi huwa natumia kujisaidia kuwa mwenye furaha: Najitahidi kuimarisha uhusiano wangu na MUNGU nyakati zote: za vicheko ama vilio, raha ama huzuni, kukosa ama kupata, kupanda ama kushuka, nk. Kushughulisha akili […]

NISITIRI DHAMINI HEDHI CAMPAIGN: MCHINGA EXPERIENCE – PHASE II

MIPINGO SECONDARY SCHOOL, LINDI TANZANIA Oktoba 2021 tulitembelea shule nne za sekondari Wilayani Lindi katika jimbo la Kisiasa la Mchinga. Tuliweza kuwafikia mabinti 584 kwenye shule hizo kwa kuwapatia elimu ya makuzi, afya ya uzazi na afya ya hedhi. Pamoja na kutoa elimu hiyo, tuliwapatia pia zawadi za taulo za kike za kufua kwa ajili […]

NISITIRI DHAMINI HEDHI CAMPAIGN – Mchinga Experience

Tarehe 09.12.2020 kulikuwa na Kongamano la Wasichana kwenye ukumbi uliopo katika jengo la Jubilee Tower, jijini Dar es Salaam. Ni moja kati ya makongamano ya wanawake ambayo yalikuwa na mvuto mkubwa sana. Timu ya #NisitiriDhaminiHedhi kampeni ilishiriki kongamano hili pia. Mh. Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi wa kongamano hilo. Baada ya kongamano kama ilivyo ada, […]

NISITIRI DhaminiHedhi Campaign – Kyela, Mbeya

Ilikuwa ni furaha kubwa sana kuweza kuwafikia mabinti hamsini (50) katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya na kuwapatia taulo za kike za Nisitiri. Mmoja wa mabinti hawa aliileza timu nzima ya Nisitiri Project kwamba taulo hizi ni msaada mkubwa sana kwake kwani kabla ya hapo amekuwa akitumia magodoro yaliyochakaa pindi anapokuwa katika siku zake za […]